Mwanadada wa JF kanitongoza

Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona
hahahhahaha na hayo meno yako Ushimen kumpata demu huku ni tabu saana.

kikikikikkkkkkk kidding
 
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu

wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
huyu jamaa abadilishe avantar bhana aandike maji ya moto

duuuu ni hatari lakini salama
 
Umeonyesha utoto kwa kuanika mambo ya chamber hapa, akiendelea kuwa nawe basi nae kiazi!!
 
huyu atakuwa msukuma tu na si vinginevyo maana ndio kabila la malimbukeni Tz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…