Mwanadada wa JF kanitongoza


Kwa hiyo kama umetongozwa unakuja kutuambia huku ili iweje? Swaa la kutongozwa ni siri yenu sasa kinachokufanya uanike siri zenu za ndani nini? Kwa nini huuheshimu uhusiano wenu wala humheshimu huyo mwaname ambaye anakupenda? Kama humtaki mweleze na kila mtu aendelee na maisha yake na sio kumtangaza humu kama matangazo ya vifo.

Namalizia kwa kusema jiheshimu, na jambo usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine.
 
Aliyekutongoza naye labda awe na moyo mgumu kama wa paka au sjui mnyama gani!!! Maana hapo umekuja kututaarifu kuwa umetongozwa sasa mkiwa katika mahusiano itakuwaje?
 
Unapenda sifa sana inavyoonekana.
 
mbona heshima iko hapo mkuu,mim na yeye tumeridhiana na amekubal ata nikiomba ushaur JF, lamba hlo povu lisitoke lote
 
Hongera sana maana inaelekea leo ni mara ya kwanza kutongozwa.
Tembeatembea utagundua ni jambo la kawaida sana.
 
Kutongozwa ni jambo la faragha,baina yako na huyo alitekutongoza,sasa kutueleza sisi unatueleza ili iweje? Kuropoka kama ulivyofanya ni dalili ya mapungufu na kutojielewa.
naona povu linakutoka ,kaa kando ujiulze vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…