Mwanadada wa JF kanitongoza

angalia wasije wakawa wale majamaa wanaokimbizana na makonda kila siku
 
Bado hujajielewa wataka nini kwetu, kwake!
 
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu

wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA..... mkuu umenichekesha ile mbaya
 
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu

wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika

Ila wewe kuna mdada alisema anakuona uko amaizing, ukazingua mwenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…