Mwanadada wa JF kanitongoza

Kama ameweza kukutongiza ww kwenye mitandao tena mbele zamashaid wamitandao, bas ujuwe huyo anatatizo lamatamanio, ila jalibu tu kuishi nae, ushaur wangu tafuta mlinz maana huko kwenye viuchocholo ooooooh atamaliza wote
 
asante mkuu
 
Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona

Hahahaaaa hahahaaaaaaa....Ndugu umeniwahi kweli. Hao ndiyo wale wale..
Kama hataki atongozwe, basi aendelee kupiga mgalala
 
Upo ila unatakiwa uwe unasimamia kucha kila mkienda kule kwenye mambo yenu. Ninachokusihi, usije ukajaribu kukumbuka mapicha kama wakati ukiwa kwenye chama chetu......
Nasikitika mwanachama mwenzetu unatukimbia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…