Only her for ever
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 243
- 340
Habari za wakati huu,
Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wote wa vyuo vikuu na vyuo vya kati katika kusaidiana mambo mbali mbali ya vyuoni e.g kielimu, kijamii na kusaidiana namna ya kutatua changamoto tunazo zikabili.
Pia uzi huu ni kupeana updates za events mbali mbali zinazoendelea huko vyuoni.
Karibuni.