Mwanachama wa ISIS ame ritadi. Akitoa maelezo kilichomfanya aritadi

umeifuatilia wapi sheikh....ili tupate ilimu tuwahabarishe na wengine
Sheikh tena 😅😅
Ila kwakuwa Sheikh maana Yake mzee na kote kote ipo Kwa Waislamu na wakristo sawa japo kwa hao wote waislam wala wakristo sipo...

Ukiangalia Facial expression, Voice tone,Its more on Intelligence Investigative Reasoning kwamba huyu mtu anatoa ushahidi usio wa kweli..
 
Attachments

  • Screenshot_20231120-145746_Chrome.jpg
    Screenshot_20231120-145746_Chrome.jpg
    132.9 KB · Views: 3
Sheikh tena 😅😅
Ila kwakuwa Sheikh maana Yake mzee na kote kote ipo Kwa Waislamu na wakristo sawa japo kwa hao wote waislam wala wakristo sipo...

Ukiangalia Facial expression, Voice tone,Its more on Intelligence Investigative Reasoning kwamba huyu mtu anatoa ushahidi usio wa kweli..
Sheikh ni cheo. Nlidhani una ushahidi flani. Kumbe ni hilo ambalo ni subjective.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom