ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,555
Subjective with notive and clue..Sheikh ni cheo. Nlidhani una ushahidi flani. Kumbe ni hilo ambalo ni subjective.
Mkuu sheikh ni cheo cha wapi?
Subjective with notive and clue..Sheikh ni cheo. Nlidhani una ushahidi flani. Kumbe ni hilo ambalo ni subjective.
Subjective with motive.Subjective with notive and clue..
Mkuu sheikh ni cheo cha wapi?
Kaamua rasmi kujiunga.... Daaaah..... Haya mambo haya.
View attachment 2818844
Ni kitendo cha Muislamu kupiga chini uislamu na kuamua kuwa Mkristo.Kuritad ndio kufanyeje