palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Kweli wametunyima uwanja..?? Mwenye taarifa sahihi tafadhali atujuze!
Husika na taarifa hapo chini.
MUENDELEZO!
Taarifa tunazozipata muda huu ni kuwa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeondoa zuio la Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam la 'kukataza' kufanyika Mkutano wa Ufunguzi Rasmi wa Kampeni za UKAWA katika Viwanja vya Jangwani, kwa maana hiyo Mkutano wa Ufunguzi Rasmi wa Kampeni za UKAWA utafanyika kama ulivyopangwa siku ya Jumamosi tarehe 29.08.2015, katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam.
Na Julius Mtatiro
(Copied somewhere, at a trusted source)
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
Kumekucha baada ya mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilala mapema jana kutoa barua ya zuio kwa UKAWA kupitia CHADEMA kutotumia viwanja vya jangwani kufanya ufunguzi wa kampeni za uraisi 29/08/2015, baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa na maoni tofauti:
Dk. H.Kigwangala
"Alichokifanya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kuwanyima UKAWA uwanja wa Mkutano wao ni hujuma dhidi ya CCM, kama taarifa hizi ni za kweli !"
"Kwa vyovyote CCM haiwezi kuwa na mkakati wa kuwanyima UKAWA uwanja wa kufanyia mikutano, maana hatuwaogopi. Km barua hii ni kweli ni hujuma"
Chanzo: Fb na Twitter ya Mhusika
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
Tunajuaje kama haikuwa muvi tu ya maccm kuonyesha kuwa NEC ipo huru na inaweza ingilia kati mambo haya....
mkuu mbona hii id yako ni ya zamani lakini inaonyesha kama umejiunga juzi au walimerge na id nyingine?Endeleeni kujifariji... Leo Kinana nimesikia akisema CCM hakiponi mwaka huu na kama kitapona basi itakuwa serikali ya mseto Lowassa akiwa Rais.... Anasema Mkt wa CCM watu wasimsikilize na majigambo yake hana mikakati ya ushindi wala nini!...
Hamuwaogopi? Unajua kuwa CCM iliomba kutumia Uwanja wa Jangwani August 21, 22, 23? Kisha wakaomba August 28, 29 na 30. Lengo lilikuwa nini kama sio woga?
Source: Ofisa utamaduni manispaa ya Ilala
Vipi mbona id ya acampo ni mpya?Kigwangalla kaongea ukweli. SISI CCM hatuwaogopi hawa UKAWA. Ni wepesi sana. Lusinde peke yake anatosha kuwagaragaza
Okey sasa hizi rafu za asubuhi mapema za nini kama hamtuogopi,?
Kama nyie mnajiamini ni champions kwa nini hamtaki fair play?
Sisi ukawa tunataka siasa za kistaarabu cheza fair utushinde fair na sisi tutakubali matokeo.
mkuu mbona hii id yako ni ya zamani lakini inaonyesha kama umejiunga juzi au walimerge na id nyingine?