mamayeyo
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 167
- 132
naona watu mnasahau .. Kuna shule sikuhizi hazitumiaa mfumo wa necta!!! Wanatumia cambridge system ... Nazifahamu shule mbili
1) aghan mzizima ya upanga! ...
2)al-muntaziri ya upanga!
Kwa dunia ya sasa .. Mtu mwenye hela zake na hana mpango wa kusoma bongo chuo!.. Anazama kupiga cambridge system! Mwisho wa siku we na one yako ya saba upo udsm .. Yeye pamoja na four yake kafanikiwa ku pass cambridge yupo mbelembele .... Anapiga shule .. Nyie bakini tu na chuki zenu binafsi!! Kufeli form four sio kufeli maisha & na msimeze kwamba bongo system inayokubalika ni necta peke yake... :nono:
kweli kabisa, waeleze. Kufeli mtihani si kufeli maisha! Wangapi walipata division zero saa hizi wanapeta kwa sana? Na binti wa jk tumwache jamani, yeye ni sawa na binti yeyote wa kitanzania na matokkeo yoyote aliyopata ni yake, hayatuhusu!