Mwanaasha aanza kidato cha tano... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaasha aanza kidato cha tano...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 27, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 27,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.

  Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...

  Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Umbea tu.
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kudharau kazi za wenzio haifai......
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umeajiwa kumtetea jk na familia yake au ni ukenge tu unajusumbua
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Acha kudharau kazi za wenzako. Hivi wewe unafanya kazi gani, ukiitaja tutakwambia jinsi kazi yako hiyo ilivyo ya hovyo. Usidharau mwenzako
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  hilo mi nampongeza presidaa wetu angetaka huyo binti wake angekuwa anasoma nje toka akiwa chekechea,pia presidaa kesha ona mfumo wa kusomesha watoto ng'ambo wakiwa bado wadogo wanakosa malezi bora na kuingia katika tabia za ajabu kwa kuiga tabia na mila za ugenini ,tukumbuke watoto ni hodari wa kuiga chochote wakionache mbale yao,kwa uzoefu tu nimeona watoto wengi walioenda kusoma nje wakiwa bila ya wazazi wao wakijuhusisha katika mambo yasiyofaa na pia kuwa na tabia zinazokosa staha mbele ya tamaduni na mila zetu,mwacheni Mwanaasha asome na nafikiri kapata changamoto hatawaangusha wazazi wake pia.Mtoto wa presidaa si sawa na mtoto wa kabwela hata afeli mtihani baado njia yake haitakuwa na mabonde
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  acha upuuzi wewe, kwani wewe hujawahi kwenda Bar ukahudumiwa na huyo muhudumu au hujawahi kukodi Taxi na ukaendeshwa na Dereva?
  Acha kukashifu kazi za watu wewe mwenyewe unasema na financial Analysit ina maana huwa hutoi services kwa watu wanaoihitaji services kutoka kwako?
   
 10. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angeleta habari za kuhusu mtoto wa Dr. Slaa ingekuwa sio umbea ....
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kwani mtu ukifeli kidato cha nne mara ya kwanza ndo umefeli kabisa? We have to encourage those that did not do well to fight hard and make it...Mwanaasha including.
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  :iamwithstupid::closed_2::angry::ban::focus:
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135  LIKE, Like, Like
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani ana mtoto?
   
 15. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Great Thinkers!!!
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  dr slaa mtoto wake anamaliza chuo kikuu ardhi mwaka huu ni kichwa balaa......

  lingine??
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.

  Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Samahani yoyo umesema? ina maana Dr ana mtoto mkubwa kiasi hicho? je alimpata walipokuwa madhahabuni au baada ya kuacha kumtumikia bwana?
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh!! mtoto wa wa Slaa ni kichwa???:blah:
   
 20. k

  kagame Senior Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jadili mada acha kushambulia mtoa mada, hapana shaka weye utakuwa mtu wa buchani ambiance.
   
Loading...