Mwanaasha aanza kidato cha tano

Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...

Na wewe mwanao yuko wapi...?
 
Huyo kama alishindwa hapa nyumbani Hata angepelekwa nje angatuaribia tuu kodi zetu ongera kikwete kwa kuliona hilo
 
Hongera JK kwa kuonyesha uzalendo, viongozi wengine wanastahili kuiga huu mfano wa kusomesha watoto wao humu nchini kama watoto wa watanzania wengine.... Kwa hili umenifurahisha sana Mheshimiwa, ingekuwa mwingine hapa huyu binti angekuwa mamtoni sasa hivi.

Hasomi hapa anasoma UK,ambapo kule anaishi na dada yake aitwaye Salama ambae alisomea udaktari wa meno hapo Muhimbili.
 
pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na c moja,mtoto wa mkuu wa kaya,mwanaasha j.k. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini dar es salaam.shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja tanzania."mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.more to come...

s0298/0025 f
mwanaasha
jakaya
kikwete
27 iv
civ-d
hist-f
geo-d
kisw-d
engl-c
lit eng-d
bio-c b/
math-f
comm-f
 
Mnajadili watu hapa halafu mnajiita great thinkers? Acheni wivu wa kijinga huo,poor you.
 
ina maana kodi yetu haikutumika kwenda kumficha ktk vi-collage uchwara UK au USA? maana wengi tulitegemea hilo.
 
itakua form5 mbezi beach ee! mana ndo advance ya karibu na hela girls
 
Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.

Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.

Hata mimi nimesoma na wenzangu walikuwa na credit moja tu ya sayansi walipoingia form five, walipiga kitabu na mwisho wa mwaka walirudia mtihani as private candidates na kupata additional credits zilizowaruhusu kufanya mtihani wa form six.

Ikumbukwe awe binti JK au nani bila ya credits muafaka huwezi kufanya mtihani.

By the way:
huo msemo uliouquote kuwa unatoka kwa Zitto Kabwe siyo wake original - unatoka kwenye kitabu cha Shaaban Robert cha Kusadikika (I cannot deny the truth for fear of momentary loneliness and thereby deprive myself of the everlasting union that is expected to appear after the defeat of falsehood - tafsiri yake kwa kiingereza)
 
DSC_0103.jpg
 
Back
Top Bottom