Acha kuficha maradhi halafu kifo ndio kikuumbue. We unafikiri baada ya Mwanaasha kuonekana live atafanya mchezo tena. Huenda form six akawa among the best students. Transparency ndio dili, huna akili tukuone na kukukosoa, unazo tukuone na kukusifiaDr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo.
Sidhani kama kauli yako ni sahihi. Matokeo ya mitihani ni siri ya mtahiniwa, hivyo hakuna cha transparency kwenye private affirs za mtu. Najua tumezoea from time immemorial kutoa hadharani matokeo ya mitihani ya watahiniwa.Acha kuficha maradhi halafu kifo ndio kikuumbue. We unafikiri baada ya Mwanaasha kuonekana live atafanya mchezo tena. Huenda form six akawa among the best students. Transparency ndio dili, huna akili tukuone na kukukosoa, unazo tukuone na kukusifia
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
:iamwithstupid::closed_2::angry::ban::focus:
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
jamani kidato cha tano si wanaanza masomo mwezi wa saba au siku hizi system imebadilika?
Well said chakaza!Mimi nadhani huyu mtoto aache kujadiliwa. Chuki yetu kwa watawala wabovu tusiwaingize watoto wao ambao wako mbali na mambo ya uendeshaji wa nchi wala hawana habari na ufisadi wowote zaidi ya kuwa shule. Tuwape uhuru wa kujisomea na kuwa raia wema hapo baadae.
Ila wale wakengefu kama Riz na wengine wanaotumia majina na vyeo vya wazazi wao kujiingiza kwenye siasa,ufisadi na biashara chafu,hao twende nao sambamba bila kuwaonea aibu.
Mwanaasha na the like tuachane nao tafadhali.
Wana jamvi mi kwa mtazamo wangu naona si vyema kumfanya huyu binti kuwa subject matter hapa jf.naamini hata yeye anaumia sana kuongelewa hvi kisa makosa ya baba yake,by so doing we are inflicting pain to a mere tanzanian citizen who is also a victim of ths situation.huyu mtoto has nothing to do na madudu anayofanya baba yake.lets leave her a lone!
Kuleta habari hii hapa jf ni ukarume kenge,leta chanzo wazi cha taarifa yako hii bac,hata hivyo kabint sio public figure kakutaka watu wakajadili kihivyo!..mbona ni issue ya kawaida mtu kukosa credit na kujiunga na kidato cah tano huku akitafuta credit.Unadhan familia yake wameshindwa kumpeleka Ulaya akarudi na masterz Bongo?...Mwacheni binti na maisha yake.Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...
Well said chakaza!
Crediti zote ziko wapi hapa? Unazijua Credit wewe? Atakwendaje V bila kupiga supplimentary hapa? Acha mambo yako!!!mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
S0298/0025 | F | MWANAASHA JAKAYA KIKWETE | 27 | IV | CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F |
Ana C 2, D 4, the rest vibendela