firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 24
Waungwana habari za siku nyingiKwa muda mrefu sana nimekuwa nje ya forum la wastaarabu kwa sababu zisizozuilika, nachua nafasi hii kuwasalimu na kuwaomba rasmi kunipokea tena. Kama ilivyo desturi yetu si vibaya mkinipasha machache katika miiko yetu mikuu kama kuna mabadiliko maboresho ili nisije vunja sheria.Nawasalimu