Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Teh yan upo kama mimi..huwa nachanganyikiwa kabisabinti mweupe mwembamba ndio weakness yangu.
upo kama mimi naamini mtu kumbe mengine mashetani kabisaMimi ni mwepesi wa kumuamini mtu...
Mimi vice versa aiseeMimi ni mwepesi wa kumuamini mtu...
Mkuu unabuku bee hapo nichukue vochaNina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.
Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
HahahaMkuu unabuku bee hapo nichukue vocha