Mwana JF katikati ya jiji

swadakta mkuu basi weye wafanya vyema...kuna jamaa nishawahi mshuhudia anasokomeza kidude chenye ncha kali huko kwenye n'nya ili ajikune
Unajua wakati mwingine ni kuwa mstaarabu tu watu wengine tena wenye heshima zao hufanya mambo haya bila kuwa na staha.
 
12611_4973056003100_902505071_n.jpg

Fungus, hali ya hewa imechafuka...bila kujiangalia tena kwa usafi haswaa hayo mambo mbona ya kawaida.
 
1. Minyoo at work
2. Jasho - Uchafu - JAMANI WABABA TUPENDE KUOGA MARA KWA MARA
3. Tiba ya vipele vya jasho ipo ........ mwone daktari fasta
 
Kijiweni kwa Ritz hapo. Halafu huyo jamaa anayetafuta mtandao sio Ritz kweli?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom