Mwana JF Gani Huyu?

Huyu ni jamaa wa Kigoma maana hawa watu na flana anaweza kutoka Kigoma hadi Dar kwa ndege akiwa na singilendi
 
hivi na vichapo navyo huwa vinaandikwa katika diary ?
Na hivi Pinda ameruhusu kupiga unadhani usipojiwekea kumbukumbu utapona, wenzio wakipigwa wanaomba na risiti kabisa kama ushahidi ili wakati mwingine unaonyesha tu risiti unaepuka vipigo vingine...:kev:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…