Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
- Thread starter
- #21
Hatari sanaKwa kweli

Hatari sanaKwa kweli

Na marco cha...liiii.Studio Ni kama kwa records
Sio dhambi..Mziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu
Mfalme NiMziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu




hits zake nazipenda
1. mabinti
2. wanapenda feat. dully sykes

Kuna Msiache kuongea...na Kuna HawajuiFa na jide ile ngoma ndio kali jina nimelisahau



Kila nyimbo ni hitInshort FA Hana nyimbo mbaya
Duli Mnyama sana kwenye chorus ya wanapendana ile dude balaa sana mamake walahi,sema halikupata airtime ya kutosha.hits zake nazipenda
1. mabinti
2. wanapenda feat. dully sykes
Kwenye Amen kuna mstari anasema "wape kismati cha paka cha kupendwa na wachawi ama mabwana mabwabwa wanaogongwa kabla ya kugonga"Kuna
1 mfalme
2. Ameen ft dully
3.binamu
4. Angalau wee endelea tuu