SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,410
Lile komando letu la kike kutoka kanda maalum, lilipiga chorus iliyotukuka kabisa!msiache kuongea
Lile komando letu la kike kutoka kanda maalum, lilipiga chorus iliyotukuka kabisa!msiache kuongea
"Nishaenda shule bila viatu, nishatoa funza kama buku.Mfalme Ni![]()
Baada ya kukumbuka ngoma karibia zote za mwana FA, nimerudi kuifuta hii comment. Huyu fala kila ngoma yake ni ya moto!"Nishaenda shule bila viatu, nishatoa funza kama buku.
Ipo siku utaniheshimu au utaheshimu hela zangu"
Mfalme ni the best asee!
Naam"Nishaenda shule bila viatu, nishatoa funza kama buku.
Ipo siku utaniheshimu au utaheshimu hela zangu"
Mfalme ni the best asee!
Kaka hii ngoma acha...second verseMkuu Mwana Fa hawez kutoa ngoma kali kama Binamu,naungana nawewe,kila siku ipo kwa playlist yngu

FA hata aimbe vp hii Binamu
Kaka hii ngoma acha...second verseMkuu Mwana Fa hawez kutoa ngoma kali kama Binamu,naungana nawewe,kila siku ipo kwa playlist yngu

FA hata aimbe vp hii Binamu
Acha kabisa"Ukigundua kama jana ulilewa ukamwonyesha utupu mkweo utamuangalia vipi leo" -FA BINAMU

Mfalme✔️✔️Kuna
1 mfalme
2. Ameen ft dully
3.binamu
4. Angalau wee endelea tuu
Mbili za mwisho nahusikaMimi na mabinti damu damu
Ingekuwa vipi?
Mfalme
Mr Sugu ana elimu Kiwango gani?Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue...
Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!
![]()