Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,755
- 8,350
Umeisoma hiyo rule vizuri ina exception kama Boss wako ni matako na juu yake kuna Boss zaidi yake unam-outshine tuAlways do not outshine your boss
Umeisoma hiyo rule vizuri ina exception kama Boss wako ni matako na juu yake kuna Boss zaidi yake unam-outshine tuAlways do not outshine your boss
Ili MWana FA kusavaivu mbele ya BASHITE inabidi ajue kula NAYE.Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara.
Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana.
Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa.
Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri anayo ambayo imemsaidia "kuhendo" mambo kwa hekima na busara kwa kuwa kimya na kukataa mashindano.
Maza amuhamishie tu kwenye afya awe naibu.
Ushauri tu ajiuzulu awe na amani.
First law of universalAlways do not outshine your boss