PreGE2025 Mwana FA: Bao la Mama Fainali ni Milioni 30, Serikali kutangaza zawadi kubwa Simba wakitwaa Ubingwa CAF

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.

"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."

Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.

Hiyo bid inamaanisha Simba hatoboi..., Na pesa 💰 za mama ziko salama.
 
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.

"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."

Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.

Watanzania tuna bahati mbaya sana, squad la Simba wageni watupu wanaenda kukomba kodi zetu ambazo zingesaidia matibabu ya wasiojiweza!
Bongo bahati mbaya!
 
Shilingi 571 billion ni matumizi yasiyokuwa na tija.
Ripoti ya CAG mwaka 2023/2024
It's better that money is lost in building respect to our country, 571bn hata laki mojamoja Kwa kila mtanzania haitoshi. Wacha ipeperushe bendera!
 
Mwana FA na wenzake wameshajipigia pesa za ukarabati uwanja 🔥
 
Watanzania tuna bahati mbaya sana, squad la Simba wageni watupu wanaenda kukomba kodi zetu ambazo zingesaidia matibabu ya wasiojiweza!
Bongo bahati mbaya!
Kuna watanzania wengi Tu kwenye kikosi, Mohamed Hussein,shomari kapime, kibu, Abdullazack Hamza, kina Barua, Awesu, kagoma, Mzamiru, zaidi ya nusu kwenye kikosi ni watanzania.
Thinking negatively is too bad that it derail you from seeing the truth.
Tukichukua kombe tutaimbwa ni watanzania and not otherwise!!
 
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.

"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na kuhusu ahadi ya nini kama serikali tutafanya endapo Simba atabeba ubingwa itatangazwa baada ya mchezo huu."

Mwana FA amesema "ukatilli" wao (Simba SC) ndio utajiri wao katika mechi hiyo ya fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kiongozi huyo ambaye ameambatana na timu alisema amewaeleza wachezaji umuhimu wa mechi hiyo na 'kiu' ya Watanzania katika kulihitaji kombe hilo.

Watangaze mapema kabla madalali hawajafanya yao
 
Back
Top Bottom