MWANA F.A featuring LADY JAYDEE

Dhaaaa!!! Aiseee chorus
Alizoimba jde zote n hit kwakweli acha kabsa

Hebu mwenye hzo song
Aziweke hapa please
 
Aisee hawa mafundi siku wakiamua kukaa na kumaliza tofauti zao tutaenjoy sana na muziki wao.....
 
Nimekuja mbio mbio nikadhani wametoa collabo mpya! Since then sidhan kama Mwana Fa na Jide wanaongea... Nasikia walikuwa na bifu zito...
 
Hata ukimsikia pale kwenye Sikiliza ya Ngwea Jide alivyotulia na Fa kwenye verse ya pili utakubali kwamba nyota zao ziliendana
 
wakati muziki ulipokuwa muziki!

kwa kweli

suruali zinanifunguka,vicheche vikikatiza


na kwa kwe jide akawasisitizia usikatae akikwita
collabo la wengi la wakati wote!!!!
 
Sitoamka
Verse 1
Toka uzazi wa adamu,
narithi yake damu
maungo yangu yanatimu
Naiacha mbingu nashuka duniani na naianza yangu zamu
Nakua mdhaifu mwenye macho ya upofu.
nilietoswa ndani ya maji yenye kina kirefu
Mionzi mikali toka angani kwa mtukuka
Jua kali linawaka n
 
Sitoamka
Verse 1
Toka uzazi wa adamu,
narithi yake damu
maungo yangu yanatimu
Naiacha mbingu nashuka duniani na naianza yangu zamu
Nakua mdhaifu mwenye macho ya upofu.
nilietoswa ndani ya maji yenye kina kirefu
Mionzi mikali toka angani kwa mtukuka
Jua kali linawaka n
Kuna kipindi enzi zile niliukariri wote wadau ila kwa sasa kuna mistari imenitoka
 
MwanaFAtuma alizingua kutumiwa na Wafu FM kama TP ili avuruge show ya Komandoo.

Hata nami nikamdharau msomi wa shahada 2 anashikiwa akili na watu.

Poor MwanaFAtuma.
 
Back
Top Bottom