Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

ntakupa na vitoto pia ntakupa....ila mapango ya Amboni utakwenda nami?

usijali tutakwenda ila usalama wangu utakuwa juu yao na kama tutakuwa wote hata hivyo vitoto sitaki tena... nichukue vitu gani vya muhimu..?
 
usijali tutakwenda ila usalama wangu utakuwa juu yao na kama tutakuwa wote hata hivyo vitoto sitaki tena... nichukue vitu gani vya muhimu..?

....cha muhimu ni hilo taulo lako la njano hapo!!!!!!
 

soma location yangu ndio ninapoishi..
 
Last edited by a moderator:

Nishahamaga zamani sana huko!
 
Ok Me niko Kinondoni,
Ila kwa Mume Mkubwa ni Kinondoni Morocco karibu na Eddy Baba TakeAway.
Kwa Mume Mdogo ni Kinondoni Manyanya pale karibu na Jambo Pub,
Na Mume wa Tatu ni Pale kwa Mzee Zali Mtata'Mtukutu' pale Uhuru Peak,Vijana.
Karibuni wooote.

Tuko wangapi? TULIZANA
 
Mbona jina linaonesha upo jijini Tanga, kwenye baikoko ya ukwe eh!
hahahahaaaah ! kule Tanga nilimtia mimba binti wa Ustaadhi mmoja , sasa amejiapiza kuwa atanipatiliza pindi nikikanyaga ardhi ile , nimeamua kujichimbia Nangaramo mkoani Mtwara

 
hahahahaaaah ! kule Tanga nilimtia mimba binti wa Ustaadhi mmoja , sasa amejiapiza kuwa atanipatiliza pindi nikikanyaga ardhi ile , nimeamua kujichimbia Nangaramo mkoani Mtwara


Acha uoga Mkuu! Mwenzio nimehamia Kiding'a baada ya kuharibu matejoo huku Arusha. Ungehamia Chumbageni tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…