Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,539
Sikuchunguzi ila kufahamiana si vibaya huwezi kujua pengine wewe ni jirani yangu au pengine mimi ni house boy wako tuko chini ya dari moja...............Na zaidi unaweza kukuta Bishanga ni ndiye mwosha gari la Asprin na wako mtaa mmoja.

Au zaidi ukakuta my sister wa ukweli gfsonwin ni jirani yake Kimbweka. Na utashangaa zaidi pengine Madame B ndiye "house girl' wa Kaizer na kwamba mtalaka wangu charminglady anaishi pua na mdomo na Paw!

Lakini hizo zote ni hisia zinaweza kuwa kweli ama urongo. Sasa waungwana mtiririke wapi mnaishi na mitaa yenu tafadhali!

Mimi kwa kuanzia Naishi Daslam, Magomeni mwembechai barabara inayoelekea kwa Sheikh Yahya nyumba namba 220. Wewe je?
 
Last edited by a moderator:
Mi naishi opposite na makako makuu ya chama chetu....

 
mh, me nipo ndani ya the rock city. Kata ya Nyang'homango mtaa wa Nyamwilolelwa. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…