dada kila kazi nayo ina changamoto!Kuliko kufanywa punda bora uwe mama ntilie. Ukiangalia vizuri wengi wanaofanywa punda ni wadada warembo maskini. Ukichuna buzi kumbuka kuna kukamatwa na mwenye mali sasa uwe tayari kwa vita either kumwagiwa maji ya moto au acid . Kuliko utokewe na hayo yote bora uanzishe biashara hata ndogo tu naamini Mungu atakusaidia .
sembe weee....usije ukakanyaga Yaeda......tuwache na vitunguu vyetu........
jamani naombeni niwaulize kitu,
nimepata nyepesi kwamba madawa haya yanavyowekwa tumboni huwa yanapitishiwa kwenye 0713 na kuelekezewa tumboni!
je hii ishu ni ya kweli?
kama ni kweli, inawezekana vipi jamani?
Jamani povu la nini. Mwenyewe kawashauri wadada, sisi wakaka povu la nini? Mambo ya Ngoswe waachieni akina Ngoswe.
Lkn kumbuka kazi zingine ni za uuwaji hebu ona kama huyo binti na wengine waliotangulia jinsi walivyotekeza maisha yao huku mabos wao wakiwaacha nyuma. Pia huoni kuwa jamii yetu imeharibika sana kwa madawa ya kulevya wengine hata wameibiwa kwa kuwekewa madawa ya aina hii kwenye vinywaji.dada kila kazi nayo ina changamoto!
hivi mwasisi wa sembe transport management ni nani vile?
hivi siku hizi mgambo wameshamaliza bifu na mama ntilie?
Kazi ipo.....kuchuna buzi ni sanaa km ilivyo sanaa nyingine!!
kwani wanaingiziwaje haya madude matumboni mwao!?
na process za kutoa zikoje jamani?
Lkn kumbuka kazi zingine ni za uuwaji hebu ona kama huyo binti na wengine waliotangulia jinsi walivyotekeza maisha yao huku mabos wao wakiwaacha nyuma. Pia huoni kuwa jamii yetu imeharibika sana kwa madawa ya kulevya wengine hata wameibiwa kwa kuwekewa madawa ya aina hii kwenye vinywaji.
Ijapo kila kazi ina changamoto zake lkn zina kheri kazi zisizo na hatia au damu ya wengine mikononi mwako. Hii sio kazi ya kuishabikia hata kidogo.
Hebu nikazane na kilimo mie masika imekomaa nikivuna nije mjini kununua yebo..........
Mavuno yakigoma ntakuja nichune mabuzi lakini sembe ni big no.
nlijua wanakula kama pipu au ugali,af wakienda kutimba wanazitoa
really? but sometimes ni kweli.. that is an art that use language to take money from men like mimi!
ila mimi ukinichuna, expect maumivu tu....!
manake dozi utayopangiwa.. haa!! you will pray poo!! teh!
wew wasema tuu,hujawapata wachunaji,unaitoa freely ,smtym hata bila kuombwa,kama Samsoni alisanda kw mtoto Delila(delaila),anyman hanitishiii,..
sembe weee....usije ukakanyaga Yaeda......tuwache na vitunguu vyetu........
mkuu kuuliwa hauliwi mtu,mh kwakweli watu wanataka maisha ya watu wengine kwa njia ya mkato na bado wengi watakamatwa tu na matokeo ndo hayo kukamatwa au kuuliwa kabisa tujifunze kukubaliana na kweli wa hali halisi ya kimaisha vidole havilingani kabisa ni kupambana kupata kwa halali
Hivi Yaeda chini inajumuisha na Mang'ola,Qangdeng na Baray?
Nimepita huko wakati fulani kwenye kautafiti. Ningekuona wallah nisingekuacha!!
Hebu nikazane na kilimo mie masika imekomaa nikivuna nije mjini kununua yebo..........
Mavuno yakigoma ntakuja nichune mabuzi lakini sembe ni big no.