Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

no! mkuu naona unamsema kwa hasira sana mtz mwenzio!kumbuka katumia resources za nchi kusoma! hivyo basi huko aliko inabidi aiwakilishe nchi in appropriate manner!la sivyo, nchi hii haitokuwa na la kujivunia kwa kuwa na wasomi!
Si kweli, kwanza mimi Mwamvita nimeanza kumsikia hivi karibuni, I had no idea kuwa kuna mtu anaitwa such a name. Sina kabisa hasira na Mwamvita, hanisaidii na simsaidii. Through your quotes toka kwake, nimesoma aliyoandika pale na kuona kuwa there was nothing vya kusaidia watu ambao anawapa wosia. I know by a fact kuwa ni rafiki mkubwa na Shamim Mwasha pamoja na Kinje.....hawa wote wanahusika na unga kwa namna moja ama nyingine. Shamimu anajuwa fika kuwa mumewe ni zungu la unga na Kinje anajulikana hata na watoto wa mitaani kuwa ni zungu kitambo, hiyo si siri. Sasa kwa nini asiwakemee marafiki zake mtandaoni ama hadharani ili tujuwe kuwa she means business? If not huo ni unafki uliotukuka na kwa hali hii mtu kama huyu hafai kuwakilisha nchi kama unavyosema in your quotes: ".....hivyo basi huko aliko inabidi aiwakilishe nchi in appropriate manner!"
 
Mwamvita ametoa option aliyoitumia na anayoitumia yeye kufanikisha maisha yake hasambazi sembe lakini ana buzi/mabuzi
 

Naomba kujua Kinje ni mume wa shamim....toka lini??
 
Naomba kujua Kinje ni mume wa shamim....toka lini??



Nimeandka vizuri tu ila kwa namna moja ama nyingine mwenzangu umejichanganya. Nani aliyekuambia kuwa Shamimu ni mke wa Kinje? Naomba unionyeshe kwenye maandishi yangu nimeandika wapi.
 
hahahaaa!! yawezekana ni mie! yani nimeshafanaishwa mpaka na Bishanga jamani!

qn.. mbona jamaa huyu ana pos 2 tu jamani! how comes akawa famous vile?

Umaarufu upo wa kila aina,,,, alinitongoza nikawa na mpngo wa kukubali nashangaa kapotea
 
Last edited by a moderator:
Nimeandka vizuri tu ila kwa namna moja ama nyingine mwenzangu umejichanganya. Nani aliyekuambia kuwa Shamimu ni mke wa Kinje? Naomba unionyeshe kwenye maandishi yangu nimeandika wapi.
sawa mkuu
 
Huyo aage ndugu tu china hawana muda wanyonga na kwa mkulu wetu wa sasa akipewa taarifa ndio anawapa china hongera kwa kazi nzuri. Vijana unga sio mpango. Utafurahi kwa muda mfupi ila wanakupeleka kaburini. Usishangae huyo dada walikuwa wanamtega alipita airport zote vizuri ili wakale china kichwa chezea watu wasio julikana
 
Duuh
 
Kumbe Jacky Cliff hana akili na ndiyo maana akabeba unga kwenye kiroba akifikiri anakwenda kupika ugali hotelini. Tatizo la mademu wa kibongo ndiyo hili, wengi ni vilaza na wanaliwa sana na Wanigeria kwa tamaa za kijinga, wanatumiwa kisha kusambaratishwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…