Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,379
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....
Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...
wadau Mwamvita chini ya md aliyepita, dietlof mare alikuwa na influence kubwa sana ndani ya voda, wengine wanasema ilifikia sasa wakawa na uhusiano wa kimapenzi, mwamvita ndo alikuwa km msemaji mkuu, event organiser, hata wale walioajiriwa kwa kazi hiyo walifunikwa, kuna tetesi za ufisadi vile vile kwamba miss tz ilikuwa ikuwa half ya cost iliyokuwa inatajwa lkn dada alipiga nusu nyingine. Kaja md mpya chini ya maagizo ya Vodafone kaona influence ya dada ni kubwa, wenzetu wana akili sana ili wasiharibu kwa kumtoa pale kavukavu, wanampeleke sauzi huko atajikuta hana hata kazi maalum atakaa kwa period flani baadaye mwenyewe anaweza akasepa akaona hapafai. So hiyo ni njia ya kumuengua kijanja
HII MEZA KUJAA MAKOROKOCHO NDIO NINI? ORGANISED CHAOS?
Hongera Mwanvita. Unajua watu wengine hakuna jema kwao. Hata angesema babake yake ni Yusufu Makamba wengine wangehoji kwa nini awe Yusufu Makamba!!!!!!!!! Kumwaga Waziri Mkuu ni haki yake ya kikatiba. Na unatafuta kwa nini akamwage Waziri Mkuu mbona wewe huulizwi wale unaokwenda kuwaaga unaposafiri??? Kwani kumwaga Waziri Mkuu ni dhambi au jambo la ajabu?? Na ni nani aliyekuambia alienda kumwaga kama Waziri Mkuu, au hujui Waziri Mkuu ni cheo na sio nafasi katika jamii!!!!!!!!!! Ukipata safari na wewe nenda kamuage hutazuiwa!!!!!!!!!!
Pinda hana computer/lap top? hatumiwi/hatumi/haitaji email? Hizo simu zote za nini?
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.
Umeona remote control ya DSTV hapo chini kushoto?
Acha utani? wapi nielekeze? Naona Inbox na Out Box safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, kwani na yeye anakaimu? au anamintunge inamfanyia kazi? sababu He can't be this much efficient
hahahahahahahahahahahahaa ahaha ha ha nilidhani utani. kweli tunaliwa aisee. Waziri mkuu anaandalia TV ofisini???Nyuma ya hilo dayari jekundu........naona na ya STARTV ipo pia
hahahahahahahahahahahahaa ahaha ha ha nilidhani utani. kweli tunaliwa aisee. Waziri mkuu anaandalia TV ofisini???