Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 235
- 937
π€£π€£kabisaJe anaunga mkono utekaji, mauaji, uwizi wa kura.....aache uchawa
Itakuwa kaamua kuwa chawa, maana awamu hii uchawa unalipaJe anaunga mkono utekaji, mauaji, uwizi wa kura.....aache uchawa
UchawalismItakuwa kaamua kuwa chawa, maana awamu hii uchawa unalipa
NO REFORMS NO ELECTION π
angalau huyu unaweza kumuita kiongozi wa dini πMtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu kanisa la Mwamposa kuwepo Kawe
Ameyasema hayo katika mahojiano na mwanahabari Salama Jabir katika kanisa hilo.
Video:
View attachment 3361922
Soma
Je atatekemea maovu yanayofanywa?angalau huyu unaweza kumuita kiongozi wa dini π
Napenda sana anavyo wabamiza viazi na vilaza , yani huwa nachekelea na kuona kumbe kufa maskini ni kujitakia tuπ€angalau huyu unaweza kumuita kiongozi wa dini π
Hapana dogo,angalau huyu unaweza kumuita kiongozi wa dini π
π π π πHuyu jamaa huwa namkubali sana kwa kuwapiga viazi mviringo.
Sure madam namkubali mno yaniπ π π π
In fact,Hapana dogo,
Mtumishi wa Mungu wa kweli lazima awe na uthubutu wa kukemea maovu katika jamii kama uonevu, ufisadi, wizi wa uchaguzi, utekaji, ulawiti, mauaji, nk, bila kujali nyadhifa za wahusika wanaofanya hayo