MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #81
Woza woza woza......







Emanuel







Emanuel






















huu sasa ndo "umburura" wa viwango vya SGR....eti hii pisi unafananisha ile oil chafu na operations tena za Indian hospitals...Hivi unajua ni watu wangapi wamefaidika na huduma?
Kipi bora, kufanyiwa operation India kwà 20m au kununua maji na Mafuta?
Supernaturalhuu sasa ndo "umburura" wa viwango vya SGR....eti hii pisi unafananisha ile oil chafu na operations tena za Indian hospitals...
Asee Religion ni zaidi ya ngada!
Bure au kuna malipoHii ni Huduma mpendwa. Na kuhusu Mafuta , yapo kila Mkoa.
Kwà hapo Dodoma, nenda mpaka kituo cha Martin Luther King,....shuka hapo...waulize boda waliopo hapo kituoni...kwà Mwamposa ni wapi? Watakupeleka.
Utapata Mafuta, maji, gazeti, karatasi ya maombi 12...
Karibu sana.
Kama ni kaweBure au kuna malipo
Ova
Kigali atatimba liniSio ya Freemason tena? Si mnasemaga freemason....daah wabongo bana
ACHA kujichelewesha mpendwa...
"ACHA KULIA, ANZA KUAMINI"
Juzi Kati alikua ETHIOPIA....ni suala la muda tu,...atawafikia.Kigali atatimba lini
Aje atembeleee
Ova
Akikanyaga Kigali unistueJuzi Kati alikua ETHIOPIA....ni suala la muda tu,...atawafikia.
Msiache kujiungamanisha nae kwenye media, na hakika mtapokea miujiza, na BARAKA za kutosha
AiseKama ni kawe
Mafuta 1k
Maji 1k
Karatasi ya maombi 12 ni sh.100
Kwà walioko mikoani...
Ni maji tu ndo yanakua sh.1500/=
Ni ghari sana?Aise
Ova
Usiache kumfuatilia kwenye media tafadhaliAkikanyaga Kigali unistue
Mw3nzake wa arusha aliishia Burundi
Ova
Pesa!!!! Anazifaidi yeye na mke wake!! Wajinga wanaendelea na shida zao mtaani!!SADAKA /MBEGU YA INJILI/ SHUKURANI
Namba ya matoleo
+255754 320084 Mpesa
+255 718 320084 tigo pesa
+ 255686593060 airtel money
Lipa kwà Mpesa 5692803
Lipa kwà tigo 5135393
Jina BONIFACE G. MWAMPOSA
Una uhakika na habari hizi?Pesa!!!! Anazifaidi yeye na mke wake!! Wajinga wanaendelea na shida zao mtaani!!