Mwamposa Live | Special Thread

Mwamposa Live | Special Thread

Mwambie afungue maduka ya kuuza mafuta mikoani kuna wajinga wengi huku atapiga pesa, iwe biashara rasmi na alipe kodi sio anauza mafuta kwa mgongo wa dini.
Hii ni Huduma mpendwa. Na kuhusu Mafuta , yapo kila Mkoa.

Kwà hapo Dodoma, nenda mpaka kituo cha Martin Luther King,....shuka hapo...waulize boda waliopo hapo kituoni...kwà Mwamposa ni wapi? Watakupeleka.

Utapata Mafuta, maji, gazeti, karatasi ya maombi 12...

Karibu sana.
 
BAADA YA MIAKA KADHAA SI WANAKUWA MATAJIRI NA KUINGIA KWENYE SIASA, HAPO NDIPO MNAACHIWA WACHUNGAJI KAPUKU MADHABAHU NA NYIE MCHEZEE.

SASA BASI WAKATI HUO HUYO JAMAA YENU AKIWA BUNGENI USIACHE KUTUONYESHA LIVE ATAKAYOKUWA ANAFANYA HUKO BUNGENI.

NOTE: Ni suala la muda tu.
 
Watu wanahitaji sana majibu ya maswali yao lakini biblia imesema fedha ni jawabu la mambo yote wanasahau hata mwamposa naye anapiga kazi ili apate fedha imjibie maswali yake. Subirini tiketi muende nazo sjui zitawasaidia nn badala mpige kazi kibunda kije
Ticket ni kwà ajili ya kutuhakikishia kwamba unatokea Mkoa gani.
 
Hii ni Huduma mpendwa. Na kuhusu Mafuta , yapo kila Mkoa.

Kwà hapo Dodoma, nenda mpaka kituo cha Martin Luther King,....shuka hapo...waulize boda waliopo hapo kituoni...kwà Mwamposa ni wapi? Watakupeleka.

Utapata Mafuta, maji, gazeti, karatasi ya maombi 12...

Karibu sana.
Huo ujinga sifanyi, hayo magazeti atafute wapuuzi wa kuwauzia.
 
Hili neno nguvu yake ni sawa na lile neno HITTLER.
Kwa wazee wa kumezeshwa biblia nzima kilingeni.
Hizi ni kazi za kina Nana kwaku bonsam wa Ghana
Sio ya Freemason tena? Si mnasemaga freemason....daah wabongo bana

ACHA kujichelewesha mpendwa...

"ACHA KULIA, ANZA KUAMINI"
 
BAADA YA MIAKA KADHAA SI WANAKUWA MATAJIRI NA KUINGIA KWENYE SIASA, HAPO NDIPO MNAACHIWA WACHUNGAJI KAPUKU MADHABAHU NA NYIE MCHEZEE.

SASA BASI WAKATI HUO HUYO JAMAA YENU AKIWA BUNGENI USIACHE KUTUONYESHA LIVE ATAKAYOKUWA ANAFANYA HUKO BUNGENI.

NOTE: Ni suala la muda tu.
Mtume ni cheo kikubwa sana. Hana hata mawazo hayo Ndugu yangu.
 
Huo ujinga sifanyi, hayo magazeti atafute wapuuzi wa kuwauzia.
Siku ukikanyaga madhabauni kwà Mwamposa kutoa ushuhuda usiache kukisema hiki ulichokisema....

Kwamba wakati ulipokua Thomaso...ulidiriki kusema huwezi kufanya ujinga wa kujipatia Mafuta na Maji...
 
Back
Top Bottom