Mwamposa Live | Special Thread

Mwamposa Live | Special Thread

Mwambie awe makini sahivi akitoa kafara ya kifala Kama ile ya Moshi ataliwa kichwa maana mteteze wake hayupo
255657332488_status_f9719f92a5fa4af191de0d34b121cb46.jpg
 
Dada apona festula iliyomtesa kwà muda wa miaka 15.

Ccbrt walimwambia hana tatizo. Hospital kote mpaka kwà wanganga walishindwa.
 
Kama unafahamiana na mwamposa mshauri aache kutumia mahangaiko ya watu kuvuna hata kidogo walichonacho

Atumie Bible kuponya roho za watu na sio kuumiza
Yeye Kazi yake ni kuiboost imani YAKO.....period!

ACHA KULIA , ANZA KUAMINI
 
Back
Top Bottom