Mwamposa Live | Special Thread

Mwamposa Live | Special Thread

Siku ukikanyaga madhabauni kwà Mwamposa kutoa ushuhuda usiache kukisema hiki ulichokisema....

Kwamba wakati ulipokua Thomaso...ulidiriki kusema huwezi kufanya ujinga wa kujipatia Mafuta na Maji...
Acha mikwara mbuzi wewe, hizo madhabahu za kichawi wanaenda wenye akili kama zako na wachawi wenzie
 
SASA MTUME YUPO MADHABAUNI,...AMEISHAPANDA TAYARI MUDA HUU
 
Hatuwezi kuruhusu wizi kwa kichaka cha dini
Hivi unajua ni watu wangapi wamefaidika na huduma?

Kipi bora, kufanyiwa operation India kwà 20m au kununua maji na Mafuta?
 
Nawasalimu kwa Jina lipitayo majina yote la Bwana Wetu Yesu Kristo wa Nazareth!

Thread hii ni maalumu kabisa kwà ajili ya kuwapasha watu habari kwà kinachokua kinaendelea kwenye Huduma ya Mtume Boniface Mwamposa via Redio, Social networks or Via Arise and Shine TV

Karibuni sana.

Arise?
Hivi Mwamposa ana matawi mikoani??
 
Hivi Mwamposa ana matawi mikoani??
Vituo vya Radio,...na Mahala pa kwenda kuchukulia products zake.

SASA haina haja ya kwenda kawe kuchukua maji na Mafuta, au kutumiwa kwà gharama kubwa kwà njia ya bus au ndege...

Utayapata hapo hapo ulipo kwenye Mkoa wako.
 
Hivi unajua ni watu wangapi wamefaidika na huduma?

Kipi bora, kufanyiwa operation India kwà 20m au kununua maji na Mafuta?
Wanaouza madawa pharmacy mbona wanalipa kodi? Ninyi mnaouza mafuta kutibu kichwa na wao wanaouza aspirin mnatofauti gani???

Kila biashara halali inayofanyika nchini inalenga kumsaidia mwananchi ila zote zinalipiwa kodi.

Haijalishi hayo mafuta yanatibu au hayatibu, Ila kwakuwa anafanya baishara ya kuuza maji na mafuta alipe kodi. Kama sivyo agawe bure.
 
Back
Top Bottom