Mwambie umpendae neno hapa

Mwambie umpendae neno hapa

I would have stayed if you said we would have made things okay....
Wadau,

Hapa ni mahala pa kufunguka, sema neno lolote kumwambia yule ambae umekuwa ukimpenda saana lakini umeshindwa kumwambia kwa namna yoyote, au ulishamwambia lakini akakutolea nje. Either kazini, kitaa, ofisini au hata hapa.

Maliza hapa! labda atapita siku atakuja kuona ujumbe wako, vema ukataja na jina lake.
 
Kama na wewe you have nothing to do with this thread unapita tuu like nikuadd

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom