Kama kawaida lazima nikifika nyumbani tu naenda contena kwa mangi kurefresh na kupata nondo mbili za kulalia, yes nondo........ nimeama kesto....... Mangi kama kawa lazima akupe story za kitaa...... Mangi akaanza kufunguka.....analalamika mshkaji mtaani anamzingua kwenye biashara.....jamaa kila akienda na demu anamtonya mangi kuwa demu akitaka Savana mwambie hamna.........sasa juzi jamaa kaenda na demu alafu kama kawa akamtonya Mangi....mangi akaona huu ujinga....demu kuagiza savana....mangi akapeleka...jamaa mcho yakamtoka.......amekataa kulipa deni...anasema hayakua makubaliano....demu alipiga kama tusavana tutano ivi......aisee....kumbe kuna watu wako ivyo aisee......Kina dada ukienda out na jamaa nenda mwenyewe kaunta kaangalie unakunywa nini........ wasanii ni wengi.
Umeongea point sana mkuu..vijana wengi wa mjini wana fake sana maisha........unajifanya ukovizuri kumbe unatoa povu.....mbona kuna wa rahisi tu wengi.......sio lazima umfate anayekunywa savanna au kama vipi mwambie kabisa hela ya savanna huna.Haya ni matatizo ya kujikweza wakati huna kitu, kwa nini aishi maisha ya kuigiza badala ya maisha yake ya asili? Kwa nini kujitwika ma mizigo yasiyo na faida?
Kwani savanah bei gani?.
Inaweza zidi chupa ya wine(acha zile za dodoma)?
Savanna moja inachezea kwenye 3000 hivi, kwahiyo akizipiga tano 15000/= ndio imetoweka!
ha ha ha, akome kujishaua.
he hata kama ni mie lazima nipige savannah kwa kwenda mbelee
ukipata kwa kushikilia mbona unashikilia sana,nikiwa mwenyewe ninywe
reds nikipata wa kuninulia bado ninywe reds AAAH WAPI!!!!!!!!
Ni balaa kaka...alafu huwa tusavana hatuleweshi.....mtu anaweza gonga hata 10......Wadada wengi ni wakomoaji. Unakuta ni mnywa Redds lakini ukiwa nae ni SAVANA, na vingine vya bei juu?
Savana 1 ni nondo 2
Good morning my dear patient........your not allowed to drink till you get that hole examined.....the Dr is still waiting to examine you.......Note that. Dr will remain busy through weekend.......you have to submit that form now to avoid long queue.
ahahaaaa best nimepata pm yako...yule bazazi si alinipm anataka kitu! kalaaniwa kuliko wanawake wote yulehe hata kama ni mie lazima nipige savannah kwa kwenda mbelee
ukipata kwa kushikilia mbona unashikilia sana,nikiwa mwenyewe ninywe
reds nikipata wa kuninulia bado ninywe reds AAAH WAPI!!!!!!!!
you didint get my form sweetest doctor!!!!!!!!!!I submitted it yesterday>>>......
should i fill up anaother form
Yes my dear patient.......
ahahaaaa best nimepata pm yako...yule bazazi si alinipm anataka kitu! kalaaniwa kuliko wanawake wote yule