Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

Haya mambo yapo na tumeshakutana na visa vingi kama familia.

Mwaka 2018 nimetoka kumchukua wife hospital baada ya kujifungua mtoto wetu wa 3 kuzaliwa, ile tumefika home tu (kipindi hicho bado nimepanga, ilikua myumba mzima lakin fence ya nyumba haikua na geti bado), mama mkwe akaomba nguo za yf kwa ajili ya kuzifua usiku huo huo.Bas akazianika nje .

Asubuh tuna amka tukakuta nguo zoote zipo kasoro nguo 1 tu ya wife ambayo ndio alivaa akiwa leba wakat wa kujifungua, haipoo.

MIaka kadhaa mbele mimba 2 ziliharibika kwa misacarriage mpaka siku nilipokumbushia tukio ya 2018 kupotea nguo ya wife, tukafanya ibada maalumu kama familia, hatimae yf akabeba mimba tena na 2022 Dec akajifungua our last born.

Uswahil upo sana
 
Watu wabaya sana chief,,,, Mungu mkubwa ulikumbuka hilo tukio
 
Ex wangu demu wa kipare baada ya makubaliano ya pande mbili ya kuachana kwa amani ye alianza kutafuta jina la mama yangu kumbe hakuridhia makubaliano

Nikamshirikisha mzee mmoja akaniambia jina lako na la mama likipatikana huwa linatumika kishirikina
Hizo ndio password zako chief,, wakizipata kwisha habar yako
 
Hii bado haijaisha emu malizia basi mboni unatupa vipande vipande akasema kwenye Gari anaelekea wapi?
 
Hii bado haijaisha emu malizia basi mboni unatupa vipande vipande akasema kwenye Gari anaelekea wapi?
Dah hahaha we mwamba mbishi balaa,,,,,anyways akasema anaenda kwao geita eti aliondoka bila kuaga kwahiyo wazazi wake wamemmind ndio maana akaamua kutoroka.

Akaendelea kufunguka unajua niliogopa kuwaambia wkt mshaingia gharama so msingenielewa ndo maana nikatoroka.

Sasa ukiangalia the all story ni uongo coz hawezi safiri toka umbali wote huo na huku unakaa na wazazi halafu uondoke tu bila kuaga,,,, ila inaelekea alienda dodoma kwa huyo mwamba aliiyempiga pini, coz alituambia now yupo dom anafanya biashara ndogo ndogo


The end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…