Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Ndugu wana JF
Kautafiti kangu kado kamebaini kuwa, wanawake anataka mwanaume mwenye sifa kuu 3.
1. Mwanamke anataka mwanaume mwenye sura nzuri atakaye simama naye, mbele za watu huku akijiamini, na kusema huyu mnaye muona ndiye mume wangu.
2. Mwanamke anataka mwanaume anaye jiamini. Ninapo sema kujiamini namaanisha nguvu za kiuchumi. Hakika mwanaume huwezi kujiamini kama kiuchumi uko ovyo. Ndiyo maana wanaume wanaopata vicent kwa msimu wakivikamata huzuzuka na kuanza kuita mwanamke aliye mmiss kitambo, kwani anayo haki mfuko uko sawa.
3. Sifa ya 3 ni Mahaba. Mwanamke anataka mwanaume anaye yaweza.
Wanaume wengi kitandani hawako vizuri, ila midomoni wako vizuri, utasikia jana nilipiga vi5. Sehemu kubwa ya wanaume wengi wanao simlia mambo yao ya kitandani, wengi hujisifia kuwa wamekojoa mara kadhaa.
Ukweli ni kwamba ewe baba kupiga vingi si issue bali mwenzako naye kashiba? Wewe baba ni sawa na mwandaaji wa chakula, ni wajibu wako kuhakikisha mwenzako anashiba.
Hivyo basi nadira kukuta mwanaume ana sifa zote 3, yaani mzuri wa sura, ana pesa na kitandani yuko vizuri.
Karibuni.
Umba wako umuweke ndani! Baba Mungu katuumba kila mtu na mapungufu yake!