Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Aliyekuambia umuuzie adui mbinu za vita nani? Tukitekwa nakutoa sadaka.
Yaani sifa ya mwanaume ni moja tuuu, kujiamini! Basi! Mie siangalii sura walakitandani. Manake wengine tunafanya mapenzi kwa kutumia akili tu. Yaani akiiteka akili hata kwa kuangaliana usoni tu orgasm inakuja kabla ya kuguswa.
I am not crazy, i am special.
cc Mwali, AshaDii, snowhite, Kongosho
:drum::drum: