Mwamamke anahitaji mwanaume mwenye sifa 3

Mwamamke anahitaji mwanaume mwenye sifa 3

Mwanaume pesa, sura tutavumiliana.

Ndio maana ndoa za hivyo huwa hazidumu ngoja afilisike tuu baasi ndo utajua tabia halisi ya mwanamke..
Tafuta mwanamme unayeridhika naye kwa vyote.. Muonekano, kiuchumi, na tabia..
 
mkuu sura kitu gani watu wanawake wanaangalia je unamkwanja.....?
 
Ndugu wana JF
Kautafiti kangu kado kamebaini kuwa, wanawake anataka mwanaume mwenye
sifa kuu 3.

1. Mwanamke anataka mwanaume mwenye sura nzuri atakaye simama naye,
mbele za watu huku akijiamini, na kusema huyu mnaye muona ndiye mume
wangu.

2. Mwanamke anataka mwanaume anaye jiamini. Ninapo sema kujiamini
namaanisha nguvu za kiuchumi. Hakika mwanaume huwezi kujiamini kama
kiuchumi uko ovyo. Ndiyo maana wanaume wanaopata vicent kwa msimu
wakivikamata huzuzuka na kuanza kuita mwanamke aliye mmiss kitambo,
kwani anayo haki mfuko uko sawa.

3. Sifa ya 3 ni Mahaba. Mwanamke anataka mwanaume anaye yaweza.

Wanaume wengi kitandani hawako vizuri, ila midomoni wako vizuri,
utasikia jana nilipiga vi5. Sehemu kubwa ya wanaume wengi wanao simlia
mambo yao ya kitandani, wengi hujisifia kuwa wamekojoa mara kadhaa.

Ukweli ni kwamba ewe baba kupiga vingi si issue bali mwenzako naye
kashiba? Wewe baba ni sawa na mwandaaji wa chakula, ni wajibu wako
kuhakikisha mwenzako anashiba.

Hivyo basi nadira kukuta mwanaume ana sifa zote 3, yaani mzuri wa sura,
ana pesa na kitandani yuko vizuri.

Karibuni.

sifa no 1 umedanganya. sura nzur ya mwanaume ya nn? kwan naenda kumuuza sokon? mim mzuri mwanaume mzur wa nn?
 
mwanaume sita kwa sita wengine tunachukuliwa na wanawake sio kwa sababu ya pesa ila mchezo lazima uujue baana hii haipingikii
 


"For The Love Of Money"


Money, money, money, money, money [6x]
Some people got to have it
Some people really need it
Listen to me y'all, do things
Do things, do bad things with it
You wanna do things, do things
Do things, good things with it
Talk about cash money, money
Talk about cash money
Dollar bills, yall

For the love of money
People will steal from their mother
For the love of money
People will rob their own brother
For the love of money
People can't even walk the street
Because they never know
Who in the world they're gonna beat
For that lean, mean, mean green
Almighty dollar, money

For the love of money
People will lie, Lord, they will cheat
For the love of money
People don't care who they hurt or beat
For the love of money
A woman will sell her precious body
For a small piece of paper
It carries a lot of weight
Call it lean, mean, mean green

Almighty dollar

I know money is the root of all evil
Do funny things to some people
Give me a nickel, brother can you spare a dime
Money can drive some people out of their minds

Got to have it, I really need it
How many things have I heard you say
Some people really need it
How many things have I heard you say
Got to have it, I really need it
How many things have I heard you say
Lay down, lay down, a woman will lay down
For the love of money
All for the love of money
Don't let, don't let, don't let money rule you
For the love of money
Money can change people sometimes
Don't let, don't let, don't let money fool you
Money can fool people sometimes
People, don't let money, don't let money change you
It will keep on changing, changing up your mind



wallet ndo inaamua
 
Last edited by a moderator:
weka sura yako ya u handsome na weka pesa pembeni halafu angalia wanawake wengi wataimbilia upande gani aisee. ila huo ni mtazamo wako. ukiwa na ela utavua puchi 18,930,500 kwa mwaka. zamani unatongoza kwa miguu, sikuhizi ukienda kwa miguu wanakukimbia ila nenda na makalio uone. tafakari......
 
hayo ni manenotu ambayo ni kwenye vitenge tu hayako......wote wanahitaji haki sawa...
 
Ukiwa na Mungu yote yanawezekana. Muombe yeye atakupa utakacho kwa wakati wake....
 
.....Umefanya wapi huo utafiti maana sijaona kitu chochote ulichoandika kiutafiti zaidi ya street ideas and rumours. Siku hizi kila mtu akitaka kuandika vitu vyake anajifanya kutokana na utafiti.

Sio wanawake wote wanaangalia sana sifa hizo tatu. Kama ukipata mwanamke ambaye ni kupe na tegemezi lazima akugande kwenye hela.

Mfano: mwanaume anaweza kuwa na sifa karibia nyingi ulizotaja ila mwanamke akampenda mwanaume kutokana na sifa chache kati ya hizo ulizotaja na nyingine nyingi ambazo hujaziorodhesha. Kwahiyo inabidi ufahamu kuwa hizo sababu tatu ni kutokana na mtazamo wako na sio wote.
 
Mwanaume mshiko babu kwenye sura weka ya nguruwe,simba nyani nk.lakini ataonekana bonge la handsome; MF K.lyne unafikiri alifuata nini kwa Mengi?

Kutumia kigezo cha pesa kama ndio uanaume au ndio sifa kuu ya uoaji, hiki ndicho hugeuka baadaye na kuwa fimbo ya kuwaadhibia, Nkisha jua upo na mimi kisa pesa sitosita kuendelea kuwagegeda wapenda pesa wengine kama wewe, upo? na mtaendelea sana kulalamika kuwa tunaongoza kwa michepuko, unavonpendea pesa zang hata kama nitakuoa wenzako nao wataendelea kunpendea pesa zang hvohvo na sitowaacha nitawapga tu, siwanajifanya wanapenda sana pesa wanasahau upendo wakweli, nitawapga tu maana sina jinsi na nyie wenye pesa zenu nasema wapigeni tu na mwape pesa zenu, maana mapenz yanaongozwa na hisia wao pesa ndio zinawaongoza, sina jins nitakugegeden na nyie nasema wagegedeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom