Mkuu Mentor si juzi tu hapa tulikuwa tunakupa ushauri baada ya kupoteza hela kwenye ticket ya Fastjet na baadae tukaanza kukuuguza maumivu ya kuachana na kipenzi chako?!! Kwahiyo ndani ya muda huu mchache tayari ulishapata kipoozeo humu!!! Upo vizuri sana mkuu
Honey...! Wifi yako Leo kazaliwa waite ndugu zako mumuimbie wimbo kwa Kabila yenu!
Mimi na wewe chumbani.....huku sebuleni utanivunjia ndoa babu
Obheja sezae... Kiranga anapoteaga sana halafuNiko hapa dada Yangu mpendwa mwallu
Leka naleje lopondo gete....!
Heri ya kuzaliwa dada Yangu mpendwa mwallu .... Nakutakia maisha marefu yenye furaha Na amani Na mafanikio Na afya tele!
Kolaga ohangame ILOMBOLYANE!
muuza ubuyu Nyani Ngabu Kiranga ng'wana ong'wa Kulwa njooni huku kuna Nziku imechinjwa!
Thanks kiwatengu.....salamu kwa shansarieHappy birthday my shemeji.
and
May your birthday be filled with sunshine
and smiles, laughter, love, and cheer.....
Amen amen....Asante kwamtoroHeri yako ya kuzaliwa mchuchu mwallu. Mungu akupe upako zaidi na uendelee kunata mpaka uwe na manato zaidi.
Ahhaaahaa......kweli sezae
That's ma hubi
Obheja sezae japo umenisusaHeheheheheheeeelluuuuu! Yegaga ilelo lushiku loko!
Asante Chujio......may God helpbig hug! ...mamito heri ya siku ya kuzaliwa,uishi kuona watoto wa wajukuu zako!
Thanks Mapilong live mwallu
Jamaaaaaniiiii.....nimeacha toka jana usiku...ila Leo ntakula tenaAnapenda icecream huyooooo...ila simsemei!
Na huyu ni ODM halisi kaandika hapa..tena vere sober!
kwamtoro ...be vere!
Ahhahahhahha.....thanks my dia
Ku swim? Dah......thanks lovely Kasinde
Ahahahaahaha.. Asprin unatibu maumivu ya kichwa?Popope ulipo badiebey, kam zis wei chapchap sana. tena ukuje without kusave time.
Ahsante kwa taarifa. Kasinde kuja pande hii nikutekenye unizawadie malovee.
Nimeonaaaa
Wewe......mie sio kipoozeo ebo!Mkuu Mentor si juzi tu hapa tulikuwa tunakupa ushauri baada ya kupoteza hela kwenye ticket ya Fastjet na baadae tukaanza kukuuguza maumivu ya kuachana na kipenzi chako?!! Kwahiyo ndani ya muda huu mchache tayari ulishapata kipoozeo humu!!! Upo vizuri sana mkuu
Aahahh.....thanks ICHANA......mwmbie asiogopeand u wen....unajua ni vibaya kufa na hisia???
WiiiiiiiiiMzee wa kuchepuka huyu...hapo alikuwa anachepuka na wifi yangu mwallu kamuacha ndani
NitajitahidiWa kabila letu atauelewa?
Fanya Hivyo basi .....natania.....lolDawa ni kuwamegea tu hawa mods. ndo nshasema ivo. kama noma na iwe noma.
Nakusubiri mtaa wa pili ujue...
and u wen....unajua ni vibaya kufa na hisia???
Wewe......mie sio kipoozeo
mmh..u ready?
Serikali imeninyanganya zana, Nimemrudia Muumba, sasa naombea tu. Waambieni kuwa wagonjwa wanapona, viziwi wanasikia, viwete wanatembea, watu wanafunguliwa kutoka kwenye vifungo vyao.
Yu na heri asiye na mashaka nami.
yaaaa,....kuone kuleee i know what i say n i need....lol
bado sijaelewa aisee!!yaaaa,....kuone kuleee i know what i say n i need....lol
Namtafuta aliyekutoa bikra nimzawadie jogoo na kumpigie makofi matatu ya ushujaa.