mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwalimu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Jun 12, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mwalimu mmoja, alitunga mtihani wa Physics kwa ajili ya wanafunzi wake wa form 3&4. Ulikua mkavu sana. Madogo baada ya kukusanya ticha akaenda ofisini kwaajili ya kusahihisha. Bahati mbaya/nzuri hakuiona "marking Scheme" aliyoiandaa. aaahaaahh..
  akaamua kuufanya tena ili asahihishae, akafanya but kwakua mda ulikua umeenda akaweka ili aanze kusahihisha kesho.
  Kufika nyumbani akaikuta Marking Scheme kumbe aliisahau home. :-(
  Kesho akaenda asubuhii na kuanza kusahihisha.
  Akamaliza. Akaenda na Matokeo darasani.
  ... Mwalimu: Nyie wajinga sana, marks gani za kupata hizi? sawa na namba za viatu. Maswali mengine ata mwanangu wa darasa la 7 anayaweza. Wapumbavu nyie.. (Huku akiendelea kugawa Mitihani)
  Baada ya Kumaliza
  Mwalimu: Nani hakuandika jina? Tena mwandiko wa kiume.. Yaani na masikio yako mawili unapata hizi marks? Nasema naniiii?pumbavu kweli.
  Hakuna Mwanafunzi aliejitokeza... Monta akaenda kuangalia ili atambue Mwandiko...
  Kucheki ni mwandiko wa Ticha..
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Stupid Questions well answered-
  Q: Umenyolewa?
  A: Hapana, nimebadilisha kichwa.
  Q: Unashuka na jam?
  A: Hapana, nashuka peke yangu.
  ... ... Q: Utakula mboga na nini?
  A: Mdomo
  (A MIDNIGHT CALL)
  Q: Nimekuamsha?
  A: Hapana, nilikuwa naota jua hapa nje.
  Q: Gazeti ya leo inasemaje?
  A: Sijaongea nayo.
  Q: Gari imejaa, nitakaa wapi?
  A: Usijali dereva anashukia next stage, utapata kiti.
  Q: Hiyo ni accident?
  A: Hapana, dereva ameamua kupark gari upside down.
   
 3. gody

  gody JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Teh! Teh!
   
Loading...