KABIDO Member Oct 26, 2015 74 117 Jan 7, 2017 #1 Hizi singeli sasa hatari. Mwalimu wa usafi aliingia darasani akakuta darasa chafu ikabidi aulize wanafunzi "Zamu ya nani leo?". Wanafunzi wakajibu "Zamu ya man fongoooooo!" Mwalimu akabaki ameduwaa mmoja akasema zamu yako itafika kesho usiwaze mwalimu wangu
Hizi singeli sasa hatari. Mwalimu wa usafi aliingia darasani akakuta darasa chafu ikabidi aulize wanafunzi "Zamu ya nani leo?". Wanafunzi wakajibu "Zamu ya man fongoooooo!" Mwalimu akabaki ameduwaa mmoja akasema zamu yako itafika kesho usiwaze mwalimu wangu
Smokey D JF-Expert Member Jan 30, 2013 2,631 2,101 Jan 13, 2017 #3 Atakuwa mwalimu frenki nadhan mwanafunzi alivunjwa mbavu
titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,782 Jan 15, 2017 #9 Nimekuta singeli inasikilizwa hadi kwa wagumu chuga