Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Huo ndio ujumbe alioacha marehemu? Mungu naomba uniepusha na mikasa kama hii.
Yaani mwanaume utishiwe kupigwa ujinyonge.
Swela, iwapendeze isiwapendeze kazi kwenu, mimi nimekwisha Amua!Huo ndio ujumbe alioacha marehemu? Mungu naomba uniepusha na mikasa kama hii.
Swela, iwapendeze isiwapendeze kazi kwenu, mimi nimekwisha Amua!
RIP Mwalimu...anakutishia kukupiga kwa kosa lipi? Ungeacha jina la huyo kijana kama kweli ni wewe uliyeandika huu ujumbe ungerahisisha sana uchunguzi.
Iringa kwa kujinyonga ni jadi yao
Mwalimu anafundisha Iringa, kuna uhakika gani kama nae ni mhehe? Bora mleta habari angeweka jina ndio tungejua ni kabila gani kuliko kubuni.
Yaani kuchoka kutishia kupigwa ndio kumsababishe ajinyonge khaa!!!
Kwa nini marehemu asingelitoa taarifa polisi kwa habari ya huyo aliyemtishia...?
Halafu hivi polisi ya Tanzania huwa inafanyaje upelelezi wake?
Huenda huyu bwana kauawa na hata hicho kikaratasi kimeandikwa na mtu mwingine tu ili kupoteza ushahidi...