Iringa kwa kujinyonga ni jadi yao
Kumbe laki si pesa anaishi Songea? Sasa yale mambo ya kujifanya eti yeye mkazi wa Dar mara Arusha itamsaidia nini? Kama anaishi Mfaranyaki si yote maisha!Uko sahihi laki si pesa.Mimi sio mhehe bwana shemeji nawe unanitia aibu.
Ngoja nitakuja kukusalimia Songea huko.
Kumbe laki si pesa anaishi Songea? Sasa yale mambo ya kujifanya eti yeye mkazi wa Dar mara Arusha itamsaidia nini? Kama anaishi Mfaranyaki si yote maisha!
Kingine ambacho kimegundulika ni kuwa laki si pesa hayupo kwenye pay roll ya buk7 ila anafanya kazi hiyo kwa kujitolea kwa vile huko Songea hajui amuone nani.
Mwalimu wa Shule ya amsingi Isangwa Wilaya ya Kalolo na mkoa wa Iringa amejinyonga chumbani kwake usiku wa kuamkia leo.
Cha kusikitisha leo ndo ilikua kikao cha mwisho cha harusi yake na mmoja wa mwana kamati ameniambia hadi sasa hawajajua chanzo cha marehemu kuamua kuchukua uamuzi huo.
Picha za tukio:
![]()
![]()
Yaani kuchoka kutishia kupigwa ndio kumsababishe ajinyonge khaa!!!
Kwa nini marehemu asingelitoa taarifa polisi kwa habari ya huyo aliyemtishia...?
Halafu hivi polisi ya Tanzania huwa inafanyaje upelelezi wake?
Huenda huyu bwana kauawa na hata hicho kikaratasi kimeandikwa na mtu mwingine tu ili kupoteza ushahidi...
ndungu yangu siku hizi hakuna polisi tenaYaani kuchoka kutishia kupigwa ndio kumsababishe ajinyonge khaa!!!