Kumbe Nifah mhehe ngoja niache kuwa nakurushia madongo usije jinyonga bureeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!1
Hilo jina nifah nikajua labda mwarabu au chotara flani hivi. kumbe mhehe? aiseee
Kumbe Nifah mhehe ngoja niache kuwa nakurushia madongo usije jinyonga bureeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!1
RIP Mwalimu...anakutishia kukupiga kwa kosa lipi? Ungeacha jina la huyo kijana kama kweli ni wewe uliyeandika huu ujumbe ungerahisisha sana uchunguzi.
Kumbe Nifah mhehe ngoja niache kuwa nakurushia madongo usije jinyonga bureeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!1
Hilo jina nifah nikajua labda mwarabu au chotara flani hivi. kumbe mhehe? aiseee
Sijashangaa kujinyonga,hao wajukuuu aw mkwawa ndio zao
Swela, iwapendeze isiwapendeze kazi kwenu, mimi nimekwisha Amua!
Sishangai sana. 7bu yote hayo yalishanenwa kwenye maandiko matakatifu.
Iringa kwa kujinyonga ni jadi yao
Yaani mwanaume utishiwe kupigwa ujinyonge.
Yaani kuchoka kutishia kupigwa ndio kumsababishe ajinyonge khaa!!!
Kwa nini marehemu asingelitoa taarifa polisi kwa habari ya huyo aliyemtishia...?
Halafu hivi polisi ya Tanzania huwa inafanyaje upelelezi wake?
Huenda huyu bwana kauawa na hata hicho kikaratasi kimeandikwa na mtu mwingine tu ili kupoteza ushahidi...