Mwalimu wa sekondari tubadilishane vituo

Mwalimu wa sekondari tubadilishane vituo

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
920
Reaction score
599
Natafuta mwalimu wa sekondari tubadilishane vituo ili aje Kahama mjini. Mimi napenda kuhamia manispaa ya Dodoma, Morogoro, mji wa Kibaha, Bagamoyo au Dar-Es-Salaam. Aliye tayari tuwasiliane 0774 205159. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom