balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,738
- 13,653
Ninapataga wakati mgumu sana kutofautisha kati ya Mwalimu wa sayansi na mwanasayansi.
Ingawa sasa najua kuwa mwalimu wa sayansi haimaanishi kuwa wwe ni mwanasayansi.
Kama unataka kuwa mwanasayansi lazima ujikite sana na discoveries and innovation and recently publications matters alot.
Walimu wanaofundisha masomo yanayoitwa ya "sayansi" huwa siwatofautishi sana na wale wa histori na kiswahili labda na kingereza.
Inawezekana vipi ukaitwa Mwalimu mwanasayansi kama tangu uanze kufundisha hujawahi kuleta hata ka-hypothesis kamoja watu wakaanza kukachallange. Nadhani serikali ni clever sana kutotofautisha mishahara ya hawa walimu wanaofundisha historia ya sayansi na wale wa historia ya arts.
Jaman kukariri principles, formulas, concepts, derivation of derivatives, locus, heritance principle does not guarantee your scientific wise.
Please publish, make discovaries and innovations, njooni na contravesial research findings then we will call you scientific teachers.
Nawasilisha