Maokoto yakoje ?Karibu kama una ndugu Yako wa kike muambie aje Pm nimpe email atume CV yake
Hapo sawa, kila la heri mkuu.Ni government school mkuu ipo pesa kidogo tu kuliko kuchill home you better have this job instead
Ninamudu vizuri ila nahitaji 1.6MHabar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory)
...
Hamna shule inayoweza kulipa kiasi hicho bossNinamudu vizuri ila nahitaji 1.6M
Plus 6years contract
Ninauzoefu wa miaka 2 private na gorvement miaka 7
Niko apa ni mwalimu wa computer, lakini niko kwenye chemistry na BiologyHabar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory)
Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi
Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa kufanya kazi kijijini karibu sana
Nitumie CV Yako PM
Nta contact na ww after shule kufungukiwa
Goodluck
Kwa maswali zaidi njoo Pm