Namhitaji mwalimu wa kufundisha kuogelea; au ningependa kujua shule au mahali ambapo wanafundisha kuogelea katika mkoa wa Dar e Salaam. Natanguliza shukrani.
Kuwa makini ikiwezekana uwe unajifunza kuogelea na Boxer la jinz maana wanaweza tatua malinda kabla hujajua kuogelea si unajua Kwenye maji kuna mengi hasa nyakati za kukuokoa maji ya shingo au mawimbi makali, Ni ushauri kwa nia njema tu maana pale mikocheni kwa Wahina vijana wengi wanavunjwa sana na wachina kwa style hiyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.