mcharewamwika
Member
- Jul 27, 2011
- 10
- 1
Anatakiwa mwalimu wa kingereza kwenye tawi la chuo chetu kipya hapa arusha. Awe mwenye uwezo wa kufundisha (spoken english) awe mwenye kujituma na mzoefu. Pia awe na uwezo wa kufanya kazi kwenye mazingira ya aina zote. Mshahara mnono utatolewa.
Wote mnakaribishwa. Chuo kipo ngulelo (njia ya ngpmbe tunatazamana na bango la klub afriko) 0757 651250, 0713 171182
Wote mnakaribishwa. Chuo kipo ngulelo (njia ya ngpmbe tunatazamana na bango la klub afriko) 0757 651250, 0713 171182