Mwalimu wa dini (Ustaadhi) ahukumiwa kifungo jela baada ya kumlawiti mtoto wa kiume

Mkuu huko ni Ulaya, ongelea Tz.
Sio kweli unaenda kidini,Ustadh huyo sio uislamu.Ni binadamu wa kawaida.Muumin wa kweli anaweza kufanya kitu chochote ni binadamu.Sisemi ametenda jambo la kawaida la khasha,amekosea lakini usihukumu dini pliz unagusa imani za watu!
 
Sio kweli unaenda kidini,Ustadh huyo sio uislamu.Ni binadamu wa kawaida.Muumin wa kweli anaweza kufanya kitu chochote ni binadamu.Sisemi ametenda jambo la kawaida la khasha,amekosea lakini usihukumu dini pliz unagusa imani za watu!
Kumbuka haya mambo yamekuwa yakitokea mara kwa mara.
 
Kumpeleka Mtoto Madrasa ni kumpotezea njia. Fanya utafiti watoto asilimia 80.waliopitia Madrasa ndio wezi Wala unga watoto Sio ridhiki wazurulaji Hawana elimu waganga wa kienyeji wacheza vigodoro na tabia nyingi za ajabu. Matatizo Haya yt yanatokana na hao walimu maana hata hao walimu Hawana elimu. Toka lini mjinga akafundishwa na mjinga mwenzie?. Ni ndugu zangu waislamu tunatafakari Kwa upeo
 
Kama ni kweli basi sawa kuadhibiwa.
Ila nilishawahi simuliwa na mtu mmoja ambaye alikua kiongozi wa dini wa upande wa pili na akasema. Hawapendezwi na mafunzo wanayopata watoto wa madrasa ambayo inapelekea kuwa na misimamo thabiti kwenye dini.
Wanachofanya sasa ni kwanza kumuandaa mzazi mmoja ambaye atakuwa tayari kwenda polisi kufungua kesi ya uzushi ya kubaka dhidi ya mwalim yoyote wa madrasa kisha anakwambia huko mbele anawaachia wao jukumu la kuweka mazingira favaourable upande wa mzazi aliyezusha mwanawe kalawatiwa.
Hivyo ndio dini ya kiislam anavyopigwa vita kwa njia mbali mbali kabisa tena kushirikiana na taasisi nyingi za uma tena nyeti.
Mzazi wa mtoto ambaye ni muislam ashawishiwe na viongozi wa dini isiyo ya kiislam kuhujumu uislam.
 
Back
Top Bottom