Waliopangiwa Geita, wilaya ya Bukombe, au mtu yeyote yule anayeifahamu vizuri hiyo wilaya aniisaidie
![]()
Kutokana na walimu wengi wapya kuuliza mazingira na taarifa za msingi za mahali walipopangiwa kama kituo cha kazi, ningependa uzi huu utumike maalumu kwa ajili ya maswali na majibu yote yanayohusu taarifa vituo vipya.
Vile vile mnaweza kutumia ukumbi huu kukutana na walimu wenzako ambao mmepangiwa kituo kimoja, mkoa mmoja au maeneo ya jirani.
Kwa wale ambao wanataka ubadilishana vituo vya kazi, rejea maelezo ya msingi katika uzi HUU HAPA!
Karibuni na kila la heri walimu wapya!